MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR
kiungo : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR

soma pia


MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar katika ukumbi wa mikutano Afisi Kuu CCM Zanzibar.
Kikao hicho kilichobeba ajenda kuu mbili, ambazo ni Mapendekezo ya Kupiga Kura za maoni katika uchaguzi wa Jimbo la Jang’ombe na Mapendekezo ya Wanachama wa CCM wanao omba kuteuliwa kugombea nafasi ya Uwakilishi jimbo la Jang’ombe.
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Dkt. Ali Mohammed Shein yupo safarini nje ya nchi hivyo wajumbe walimchagua Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa muda na kuongoza kikao hicho.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kwenye ukumbi wa Afisi Kuu Zanzibar, kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.Balozi Seif Idd na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Sadalla. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma Ilani ya Uchaguzi ya CCM wakati kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kwenye ukumbi wa Afisi Kuu CCM Zanzibar, kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.Balozi Seif Idd
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Sadalla akisoma ajenda zitakazojadiliwa kwenye Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar. 
 Wajumbe waliohudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-samia-suluhu-aongoza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR"

Post a Comment