title : MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA FAMILLIA YA RIWA MKOANI KIGOMA
kiungo : MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA FAMILLIA YA RIWA MKOANI KIGOMA
MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA FAMILLIA YA RIWA MKOANI KIGOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la kahawa bora iliyopandwa na Familia ya Bibi Victoria Riwa (watano kulia) katika kijiji cha Nyarubanda mkoani Kigoma Julai 30, 2018. Wapili kulia ni Mtoto wa familia hiyo, Gerlad Riwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Bibi Victoria Riwa ( kulia) wa kijiji cha Nyarubanda mkoani Kigoma wakati alipotembelea shamba la familia hiyo linalopandwa miche ya kahawa bora na kufurahishwa na mipango mizuri ya kilimo inayofanywa na familia hiyo. Kushoto ni Lilian Riwa na wapili kushoto ni Gerlad Riwa, wote wakiwa ni watoto wa familia hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA FAMILLIA YA RIWA MKOANI KIGOMA
yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA FAMILLIA YA RIWA MKOANI KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA FAMILLIA YA RIWA MKOANI KIGOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/majaliwa-atembelea-shamba-la-famillia.html
0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA FAMILLIA YA RIWA MKOANI KIGOMA"
Post a Comment