title : MANISPAA YA ILALA YAANZA UKARABANI WA SOKO LA BUGURUNI.
kiungo : MANISPAA YA ILALA YAANZA UKARABANI WA SOKO LA BUGURUNI.
MANISPAA YA ILALA YAANZA UKARABANI WA SOKO LA BUGURUNI.
Katibu Mkuu wa Soko la Buguruni,Furahisha Kambi akizungumza na Globu ya jamii kuhusu kuanza kwa ukarabati wa miudombinu ya soko hilo la Buguruni na kuipongeza Manispaa ya Ilala,kwa kuchukua hatua hiyo kwa ajili ya kuwajali wafanyabishara wake ambao pia ni sehemu ya walipa kodi wakubwa katika wilaya hiyo
Katibu Mkuu wa Soko la Buguruni,Furahisha Kambi akionesha baadhi ya nguzo zilizo wekwa kwa ajili ya ukarabati wa soko hilo,jana jijini Dar es Saalaam.
Mafundi wakiendelea nakazi katika soko la Buguruni jijini Dar es Saalaam.
Muonekano wa soko jinsi litakavyo kuwa badaa ya ukarabati huo.picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii
Hivyo makala MANISPAA YA ILALA YAANZA UKARABANI WA SOKO LA BUGURUNI.
yaani makala yote MANISPAA YA ILALA YAANZA UKARABANI WA SOKO LA BUGURUNI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MANISPAA YA ILALA YAANZA UKARABANI WA SOKO LA BUGURUNI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/manispaa-ya-ilala-yaanza-ukarabani-wa.html
0 Response to "MANISPAA YA ILALA YAANZA UKARABANI WA SOKO LA BUGURUNI."
Post a Comment