Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika.

Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika.
kiungo : Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika.

soma pia


Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika.

Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais, Katiba, Sheri na Utumishi wa Umma na Utawala Bora  Haroun Ali Suleiman akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo kuhusu maadhimisho ya Siku ya mapambano ya kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar huko Ofisini kwake Mazizini.
Mkurugenzi  wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Makame Khamis Hassan akitoa maelezo juu madhimisho ya siku ya mapambano ya kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) wakifuatilia Mkutono wa Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais, Katiba, Sheri na Utumishi wa Umma na Utawala Bora  Haroun Ali Suleiman uliofanyika Ofisi kwake Mazizini Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakichukuwa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheri na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman (hayupo Pichani) katika Mkutano wake uliojumuisha wafanyakazi wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) uliofanyika Mazizini.
Picha na Miza Othman Maelezo Zanzibar.


Hivyo makala Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika.

yaani makala yote Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/maadhimisho-ya-siku-ya-kupambana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika."

Post a Comment