Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando

Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando
kiungo : Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando

soma pia


Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando

 
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa TBC, Tido Mhando, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. 
Hukumu hiyo imetolewa leo na  Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya upande wa mashtaka kushindwa kudhibitisha mashtaka yake.

Tido alifikishwa Kisutu kwa mara ya kwanza Januari 26, 2018, kujibu mashtaka matano.

Katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 7/2018, Tido alikabiliwa na mashtaka matano, mashtaka manne ni ya kutumia madaraka vibaya na moja la kuisababishia Serikali hasara ya Sh887.1 milioni.
Advertisement


Hivyo makala Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando

yaani makala yote Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mahakama-yamwachia-huru-tido-mhando.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando"

Post a Comment