KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA

KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA
kiungo : KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA

soma pia


KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo amewapongeza wilaya na Manispaa ya Kigamboni kwa kuanza ujenzi wa Ofisi za Kisasa.

Waziri Jafo ametoa pongezi hizo alipotembelea kukagua ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya pamoja na ujenzi wa Ofisi mpya za Manispaa ya Kigamboni. Katika ziara hiyo, Waziri Jafo amefurahishwa na ujenzi unaoendelea wilayani humo unaojengwa na Wakala wa Majengo(TBA) chini ya mkandarasi Mshauri kutoa Chuo cha Ardhi.

Jafo amewataka wakandarasi kukamilisha kazi hiyo ndani ya muda ili watumishi wa Manispaa ya Kigamboni wapate maeneo mazuri ya kufanyia kazi. Naye, Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando amemuhakikishia Waziri Jafo kwamba viongozi wote wa Kigamboni wamejipanga vyema ili ujenzi huo ukamilike ndani ya muda uliopangwa. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akiwa na viongozi wa wilaya ya Kigamboni katika eneo la ujenzi wa majengo ya Ofisi ya Mkuu wa wilaya na Halmashauri ya Kigamboni.
Kazi ya ujenzi inavyoendelea kigamboni.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akiendelea na zoezi la ukaguzi wa jengo la Manispaa ya Kigamboni.
Ukaguzi wa maendeleo ya jengo la Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kigamboni.


Hivyo makala KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA

yaani makala yote KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kigamboni-wapongezwa-kwa-kujenga-ofisi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA"

Post a Comment