NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU

NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU
kiungo : NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU

soma pia


NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU


Na Stella Kalinga, Simiyu 

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka ametoa wito kwa wananchi mkoani humo kujitokeza kupata huduma ya upimaji wa magonjwa yasiyaombukiza katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima Nanenane yatakayofanyika Kitaifa mwaka 2018 mkoani humo, katika Uwanja wa Nyakabindi Halmashauri ya Mji wa Bariadi. 

Mhe. Mtaka ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Banda la Maonesho la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lililopo Uwanja wa Nananenane kanda ya Ziwa Mashariki uliopo Nyakabindi Halmashauri ya Mji wa Bariadi. 

Amesema NHIF itatoa huduma ya upimaji wa magonjwa ya saratani ya mlango wa kizazi, saratani ya matiti, kisukari na magonjwa mengine yasiyoambukiza bure , hivyo hii ni fursa wananchi wa mkoa huo kwa kuwa itawapunguzia gharama waitumie vizuri. 

Wakati huo huoMtaka ametoa wito kwa wananchi mmoja mmoja na vikundi vikiwemo vyama vya ushirika zaidi ya 390 mkoani humo kujiunga nakuwa na kadi za Bima ya Afya, ili waweze kuwa na uhakika wa kupata huduma wakati wowote na kupunguza gharama za matibabu. 
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka(kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika banda la maonesho la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), lililopo Uwanja wa Nanenane Nyakabindi Halmashauri ya Mji wa Bariadi. 
Meneja Masoko na Huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Hilipoti Lello akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika banda la maonesho la Mfuko huo, lililopo Uwanja wa Nanenane Nyakabindi Halmashauri ya Mji wa Bariadi. 
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akiwaonesha baadhi ya waandishi wa habari jengo la maonesho la mkoa huo, lililojenhgwa katika Uwanja wa Nanenane Halmashauri ya Mji wa Bariadi leo, ambalo lipo katika hatua za ukamilishaji. 



Hivyo makala NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU

yaani makala yote NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/nhif-kupima-bure-magonjwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NHIF KUPIMA BURE MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA MAONESHO YA NANENANE MKAONI SIMIYU"

Post a Comment