KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA

KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA
kiungo : KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA

soma pia


KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto) akimsalimia Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Kuwahudumia Wakimbizi, Deudedit Masusu wakati kiongozi huyo ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Rais Dkt. John Magufuli, alipowasili ofisi za Wizara hiyo, jijini Dodoma leo, na kupokelewa na maafisa wa Wizara hiyo. Katikati ni Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Winston Mruma (katikati), watatu kulia ni Mhasibu Mkuu wa Wizara hiyo, Perfect Kilenza, na  Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu, Ernest Maalugu.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (mstaafu), Meja Jenerali (mstaafu), Projest Rwegasira (kushoto) akimkaribisha Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu, ofisini kwake jijini Dodoma leo. Rwegasira ambaye amestaafu nafasi hiyo alizungumza na Kingu masuala mbalimbali ya uongozi wa wizara hiyo kabla ya kukabidhiwa rasmi ofisi hiyo.
 Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala wa Wizara hiyo, Winston Mruma wakati alipokua anatoa taarifa mbalimbali ya watumishi waliopo ofisi ya Wizara hiyo, jijini Dodoma. Meja Jenerali Kingu aliwasili katika ofisi hizo mara baada ya kuteuliwa na Rais Dkt. John Magufuli kuiongoza wizara hiyo.
 Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, akizungumza na watumishi wa wizaya yake waliopo jijini Dodoma, mara baada ya kuteuliwa na Rais Dkt. John Magufuli kuiongoza wizara hiyo. Watatu kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Winston Mruma, na watatu kulia ni Mhasibu Mkuu wa Wizara hiyo, Perfect Kilenza. Kingu aliwasili jijini humo leo, na pia alikutana na Katibu Mkuu anayemaliza muda wake, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira.
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Winston Mruma alipokua akimuonyesha sehemu ya majengo ya ofisi za wizara hiyo wakati Katibu Mkuu huyo mpya alipowasili jijini Dodoma leo, mara baada ya kiongozi kuteuliwa na Rais Dkt. John Magufuli kuiongoza wizara hiyo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA

yaani makala yote KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/katibu-mkuu-mpya-wizara-ya-mambo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA"

Post a Comment