RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO.

RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO.
kiungo : RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO.

soma pia


RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Mhe.Dkt Ramadhani Kitwana Dau (kulia) na Viongozi wengine wakipewa maelekezo na Afisa Maalum mara baada ya mapokezi walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno Hatta, Jakarta Indonesia leo wakiungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ziara ya siku saba Nchini humo kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla , [Picha na Ikulu.]31/07/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ngazi ya Juu Nchini Indonesia Daniel T.S.Simanjuntak (kushoto) mara alipowasili katika Ukumbi wa Watu Mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno Hatta, Jakarta leo, akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Viongozi mbali mbali,katika ziara ya kikazi ya siku saba kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla ,[Picha na Ikulu.]31/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Mhe.Dkt Ramadhani Kitwana Dau (kulia) mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno Hatta, Jakarta Indonesia leo, akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Viongozi mbali mbali,katika ziara ya kikazi ya siku saba kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]31/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Viongozi aliofuatana nao akiwa katika mazungumzo na Kiongozi wa Ngazi ya Juu Nchini Indonesia Daniel T.S.Simanjuntak (wa pili kulia) katika Ukumbi wa Watu Mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno Hatta,Jakarta leo katika ziara ya kikazi ya siku saba kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla, [Picha na Ikulu.]31/07/2018.


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO.

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-wa-zanziba-dkali-mohamed-shein.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO."

Post a Comment