Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo

Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo
kiungo : Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo

soma pia


Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo

Mwenyekiti wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Dk Joseph Kilongola akitoa risala zake wakati wa hafla ya uzinduzi wa minara ya simu itakayowezesha upatikanaji wa mawasilino kwa mara ya kwanza katika kata za Kumbulu, Balama na Nongwe, WIlaya ya Gairo Mkoani Morogoro. Minara hiyo ilijengwa kwa ushirikiano baina ya Tigo na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kuzinduliwa jana na wahemshimiwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Mawasiliano ya Bunge. 
Wananchi wa Kata ya Kumbulu, Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro wakicheza kwa furaha pamoja na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge - Miundombinu, Mhe mbunge Rashid Mohammed Chwachwa (Masasi- aliyejifunga shuka) wakati wa uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa kampuni ya Tigo unaowezesha mawasiliano ya simu kupatikana kwa mara ya kwanza katika kata hiyo.
Wananchi wa Kata ya Kumbulu, Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro wakicheza kwa furaha pamoja na Naibu Waziri wa Miundombinu - Mhe Eng Atashasta Ndikiye (katikati aliyevaa kofia) wakati wa uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa kampuni ya Tigo unaowezesha mawasiliano ya simu kupatikana kwa mara ya kwanza katika kata hiyo.
Wananchi wa Kata ya Kumbulu, Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro wakiigiza adha walizokuwa wanazipata kupata mawasiliano ya uhakika ya simu wakati wa uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa kampuni ya Tigo unaowezesha mawasiliano ya simu kupatikana kwa mara ya kwanza katika kata hiyo. Mnara huo pamoja na mingine katika kata za Balama na Nongwe ilijengwa kwa ushirikiano baina ya Tigo na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kuzinduliwa na wahemshimiwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Mawasiliano ya Bunge.


Hivyo makala Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo

yaani makala yote Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kamati-ya-bunge-yazindua-minara-ya-tigo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamati ya Bunge yazindua minara ya Tigo wilayani Gairo"

Post a Comment