title : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMAKUFANYIKA JUNE 14- 23, 2017
kiungo : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMAKUFANYIKA JUNE 14- 23, 2017
MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMAKUFANYIKA JUNE 14- 23, 2017
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akizungumza na Waandishi wa habari(hawapo pichani) juu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni ,2017 yenye kauli mbiu “Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma,Vijana washirikishwe kuleta mabadiliko Barani Afrika”.Kulia kwake ni Naibu katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi,Susan Mlawi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari leo Mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi, MAELEZO, DODOMA.
Hivyo makala MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMAKUFANYIKA JUNE 14- 23, 2017
yaani makala yote MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMAKUFANYIKA JUNE 14- 23, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMAKUFANYIKA JUNE 14- 23, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/maadhimisho-ya-wiki-ya-utumishi-wa.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMAKUFANYIKA JUNE 14- 23, 2017"
Post a Comment