KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA

KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA
kiungo : KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA

soma pia


KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA

Na Emanuel Madafa, Mbeya
Zikiwa zimepita siku tisa tangu, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Saimon Siro, kufanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi, Kamanda wa Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi Mwandamizi(SACP) Ulrich Matei, ameanza kazi kwa kukagua mabasi ya abiria ya Mikoani Mbeya na kuwapima madereva ulevi.

Katika zoezi hilo, basi la Kampuni ya Premier linalofanya safari zake mkoani Mbeya na Mwanza, lilibainika kuwa na kasoro kwenye mfumo wa usukani hivyo kuzuiwa kusafirisha abiria hadi pale tatizo hilo litakapo tatuliwa.

Akizungumza katika kituo cha mabasi Matei amesema, madereva wa magari yote yakiwemo yanayosafirisha abiria wanatakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani huku wamiliki wa mabasi wakitakiwa kuhakikisha wanafanya matengenezo ya vyombo hivyo kabla ya kuanza safari zake.

Amesema  lazima watu watii sheria bila shuruti, hivyo kama unafahamu chombo chako kibovu basi kiwekwe pembeni ili kuepuka kukutana na mkono wa sheria .

Aidha, akizungumzia mkakati wa jeshi hilo katika kupunguza vitendo vya uhalifu, Kamanda aliwataka wananchi kuendelea kutoa taharifa kwani hizo ndizo zitakazo saidia kukomesha tabia za wahalifu.

Amesema pia wataendelea kutoa elimu  kwa jamii ili kuepuka vtendo vya kihalifu ambavyo vinatokea kutokana jamii kukosa elimu katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi Mwandamizi (SACP) Ulrich Matei akimpima mmoja wa madarerva wa mabasi ya abiria katika kituo kikuu cha mabasi Mbeya leo Julai 11, 2018.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi Mwandamizi(SACP) Ulrich Matei akiongoza askari wa ukaguzi wa magari na leseni katika kituo kikuu  cha Mabasi Mbeya.


Hivyo makala KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA

yaani makala yote KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kamanda-matei-aibukia-kituo-cha-mabasi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMANDA MATEI AIBUKIA KITUO CHA MABASI MBEYA"

Post a Comment