TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS

TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS
kiungo : TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS

soma pia


TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MICHEZO minne ya hatua ya 16 bora ya Michuano ya Sprite BBall Kings 2018 imefanyika katika viwili tofauti na timu nane kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali.

Mechi hizo zimepigwa Jumamosi na Jumapili huku michezo minne ya awali ikipigwa katika Viwanja vya Airwing huku mingine ikipigwa Viwanja vya Bandari Kurasini Jijini Dar ed Salaam.

Katika mchezo wa kwanza, timu ya DMI ilifanikiwa kuondoka na ushindi wa vikapu 113 dhidi ya 64 vya Fast Heat na Mechi ya pili ilikua ni kati ya Flying Dribbellrs dhidi ya Ukonga Hitmen ambapo Flying Dribbllers walifanikiwa kuondoka na ushindi wa vikapun 87 dhidi ya 63.

Mchezo wa tatu ulikua baina ya Airwing na St Joseph ambapo Ushindi wa vikapu 98 vya St Joseph dhidi ya 78 vya Airwing uliwapeleka hatua ya robo fainali.Mchezo wa nne ulikua ni baina ya Portland wakichuana na Mbezi Beach KKKT, na Portland kuondoka na ushindi mkubwa wa Vikapu 126 dhidi ya 54.

Mechi zingine nne zimechezwa kwenye Viwanja vya Bandari Kurasini jana zikiwakutanisha Mchenga BBall Stars dhidi ya Oysterbay, Mchenga kufanikiwa kuingia robo kwa vikapu 117 dhidi ya vikapu 56. Mchezo wa pili kati ya Stylers alikua anapambana na Temeke Heroes, na Temeke kufanikiwa kuondoka na ushindi wa vikapu 76 dhidi ya vikapu 58 vya stylers.
Mchezaji wa Portlands Dennis Babu (jezi nyeupe) akipambana na mchezaji wa Mbezi Beacj KKKT wakati wa mchezo wao wa hatua ya 16 bora uliomalizika kwa Portland kuondoka na ushindi wa Vikapu 126 dhidi ya 54 ya Michuano ya Sprite BBall Kings.
Mchezaji wa Ukonga Warriors Richo Rover akijaribu kumkwepa Baraka Mopere wa Flying Dribbllers wakati wa mchezo wao wa hatua ya 16 ya Michuano ya Sprite BBall Kings baina yao uliomalizika kwa Flying Dribbllers kuondoka na ushindi wa Vikapu 87 kwa 63.



Hivyo makala TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS

yaani makala yote TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/timu-nane-zatinga-robo-fainali-sprite.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS"

Post a Comment