title : IGP AFUNGA MAFUNZO YA POLISI WANAMAJI
kiungo : IGP AFUNGA MAFUNZO YA POLISI WANAMAJI
IGP AFUNGA MAFUNZO YA POLISI WANAMAJI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na wanafunzi waliohitimu mafunzo katika Chuo cha Polisi Wanamaji Mwanza baada ya kuangalia Onesho lao la utayari katika ukanda wa Ziwa Viktoria Mwanza. (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Bi. Mary Tesha wakati wa ufungaji wa mafunzo ya Polisi Wanamaji yaliyokuwa yakiendeshwa katika Chuo cha Polisi Wanamaji Mwanza (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akifuatilia kwa kutumia darubini mazoezi kwa vitendo katika Ziwa Viktoria Mwanza yaliyokuwa yakioneshwa na askari waliohitimu mafunzo katika Chuo cha Polisi Wanamaji Mwanza.Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Bi. Mary Tesha.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akifanya mazoezi mafupi na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Mwanza baada ya Askari hao kuonyesha zoezi lao la utayari wakati wa Ziara ya IGP mkoani humo (Picha na Jeshi la Polisi).
Askari Polisi wakionesha umahiri wao wa kupambana na wahalifu kupitia kwa vitendo katika Ziwa Viktoria Mwanza wakati wa kufunga mafunzo yao katika Chuo cha Polisi Wanamaji Mwanza.
Hivyo makala IGP AFUNGA MAFUNZO YA POLISI WANAMAJI
yaani makala yote IGP AFUNGA MAFUNZO YA POLISI WANAMAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP AFUNGA MAFUNZO YA POLISI WANAMAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/igp-afunga-mafunzo-ya-polisi-wanamaji.html
0 Response to "IGP AFUNGA MAFUNZO YA POLISI WANAMAJI"
Post a Comment