DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA

DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA
kiungo : DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA

soma pia


DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA


*Afurahishwa na idadi kubwa ya wananchi wanavyojitokeza kupima afya bure
*Ataja kiini cha kuongezeka kwa kasi magonjwa yasiyo ya kuambukiza nchini

Na Said Mwishehe, Glob ya Jamii.
 
DAKTARI Bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Heameda Medical Clinic Dk.Hery Mwandolela amesema uamuzi wa kuweka kambi ya kupima afya za wananchi bure katika Clinic hiyo inalenga kuwahamasisha wananchi kupata fursa ya kutambua afya zao mapema.

Kwa sasa Heameda Medical Clinic ipo katika kampeni hiyo ya kupima afya za wananchi bure iliyoanza Julai 26 na inatarajia kumalizika Julai 27 mwaka huu.

Akizungumza leo na Michuzi Blog wakati wa kamepeni hiyo Dk.Mwandolela amesema Heameda Medical Clinic iliyopo Bunju B jijini Dar es Salaam imeamua kutenga siku tatu ili kutoa huduma hiyo ya wananchi kuwapima afya zao bila gharama yoyote.

"Tumeamua kutenga siku tatu hizi kwa ajili ya kuwahudumia wananchi na jambo la kubwa na la kujivunia ni namna ambavyo wamejitokeza kwa wingi kupima afya zao.Kwetu sisi kampeni hii ni sehemu ya shukrani kwao.

"Kupima afya ni jambo la msingi katika maisha ya binadamu kwani husaidia kujitambua mapema na kama kuna tatizo inakuwa rahisi kupata ushauri kulingana na madaktari bingwa watakavyoshauri.

"Tunajisikia fahari pale mtanzania anapojenga utamaduni wa kupima afya mara kwa mara.Heameda Medical Clinic tupo kwa ajili ya kuwahudumia na kipindi hiki cha kampeni tumeungana na madaktari bingwa wengine nchini pamoja na madaktari bingwa kutoka India.Lengo ni kuhakikisha afya ya mtanzania inakuwa salama wakati wote,"amefafanua.

Kuhusu magonjwa ambayo wanapima kwenye kampeni hiyo amesema wanapima magojwa ambayo si ya kuambikiza ambayo kwa kipindi hiki yameshika kasi na kusababisha vifo vya wananchi walio wengi.

Mmoja wa madaktari wa Heameda Medical Clinic iliyopo Bunju B jijini Dar es Salaam wakiendelea kutoa huduma ya upimaji afya bura kwa mmoja wa wakazi wa eneo hilo.
Baadhi wananchi mbalimbali wakiwa wamejitokeza Heameda Medical Clinic kupima afya zao.
madaktari wa Heameda Medicla Clinic iliyopo Bunju B jijini Dar es Salaam wakiendelea kutoa huduma ya upimaji afya bura kwa wananchi.



Hivyo makala DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA

yaani makala yote DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dk-hery-mwandolela-wa-heameda-medical.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK. HERY MWANDOLELA WA HEAMEDA MEDICAL CLINIC AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUPIMA AFYA"

Post a Comment