title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA NANE NANE
kiungo : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA NANE NANE
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA NANE NANE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Lindi mchana huu tayari kwa kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane itakayofanyika Kitaifa mkoani Lindi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh.Nape Moses Nnauye ,mara baada ya kuwasili mkoani Lindi mchana huu tayari kwa kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane itakayofanyika Kitaifa mkoani Lindi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama cha Mapinduzi (CCM),mara baada ya kuwasili mkoani Lindi mchana huu tayari kwa kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane itakayofanyika Kitaifa mkoani Lindi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA NANE NANE
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA NANE NANE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA NANE NANE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA NANE NANE"
Post a Comment