title : Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa
kiungo : Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa
Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge (kulia) akimkabidhi funguo za gari mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola alilojishindia katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa ushinde gari'.
Mshindi wa gari aina ya Renault Kwid kutoka Vodacom Mpesa, Aloyce Mnyamagola akifungua mlango wa gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge jijini Dodoma jana, wanaoshuhudia ni maofisa mbalimbali kutoka Vodacom
Mshindi wa Shilingi milioni 1ya shindano la Vodacom Mpesa Japhet Isaya Mkazi wa Hombolo Mkoani Dodoma akipokea hundi jana katika sherehe za kukabidhi zawadi kwa washindi wa Kanda ya kati zilizofanyika Jijini Dodoma.
Hivyo makala Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa
yaani makala yote Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dereva-wa-daladala-aibuka-kidedea-na.html
0 Response to "Dereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa"
Post a Comment