title : BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU KILIMO CHA MKATABA WILAYA ARUMERU
kiungo : BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU KILIMO CHA MKATABA WILAYA ARUMERU
BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU KILIMO CHA MKATABA WILAYA ARUMERU
Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Renger Kanani akiwasilisha matokeo ya utafiti uliosimamiwa na Baraza la Kilimo na Mifugo Tanzania(ACT) kuhusu Kilimo cha Mkataba katika mazao ya Mbogamboga na Matunda wilayani Arumeru mkoa wa Arusha.
Afisa Kilimo wa halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha,Grace Solomon akichangia katika mdahalo huo baada ya matokeo ya utafiti kuwasilishwa.
Mkurugenzi wa kampuni ya Homeveg(T) Limited,Mussa Mvungi akichangia katika mdahalo huo baada ya matokeo ya utafiti kuwasilishwa.
Diwani wa Kata ya Nkoaranga halmashauri ya Meru,Zephania Mwanuo akichangia katika mdahalo huo baada ya matokeo ya utafiti kuwasilishwa.
Afisa Mhamasishaji Uanachama wa Baraza la Kilimo na Mifugo Tanzania(ACT),Khalid Ngassa akielezea madhumuni ya utafiti huo kuhusu Kilimo cha Mkataba kwenye ya Mbogamboga na Matunda katika wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa uwasilishwaji wa matokeo ya utafiti ulioratibiwa na Baraza la Kilimo na Mifugo Tanzania(ACT) wakifatilia matokeo ya utafiti huo ambao umebaini kuwa kilimo hicho kuwa na manufaa kwa wakulima licha ya changamoto mbalimbali.
Hivyo makala BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU KILIMO CHA MKATABA WILAYA ARUMERU
yaani makala yote BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU KILIMO CHA MKATABA WILAYA ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU KILIMO CHA MKATABA WILAYA ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/baraza-la-kilimo-na-mifugo-tanzaniaact.html
0 Response to "BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU KILIMO CHA MKATABA WILAYA ARUMERU"
Post a Comment