AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI

AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI
kiungo : AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI

soma pia


AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI

Mshindi wa promosheni ya AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY Fredy Mduma wa Kimara DSM akikabidhiwa zawadi yake ya simu aina ya smartphone na Meneja Uhusiano SportPesa Tanzania Sabrina Msuya wakati wa kuwazadia washindi wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kwenye promosheni hiyo, wateja wa Airtel wanajishindia zawadi mbali mbali kwa kuweka kisha kubashiri kwenye akaunti ya SportPesa 150888. Kushoto ni Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mbando.
Mshindi wa promosheni ya AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY Mazoea Rashidi wa Keko DSM akionyesha zawadi yake ya simu aina ya smartphone na Meneja Uhusiano SportPesa Tanzania Sabrina Msuya wakati wa kuwazadia washindi wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kwenye promosheni hiyo, wateja wa Airtel wanajishindia zawadi mbali mbali kwa kuweka kisha kubashiri kwenye akaunti ya SportPesa 150888. Kushoto ni Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mbando na kulia ni Meneja Uhusiano SportPesa Tanzania Sabrina Msuya.


Hivyo makala AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI

yaani makala yote AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/airtel-money-na-sportpesa-waendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI"

Post a Comment