title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA.
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA.
YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA.
Wageni Mbali mbali wakiwemo Manaibu Makatibu Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Makamishna wa Bajeti na Sera wakisikiliza hotuba ambapo Wizara ya Fedha na Mipango ilikuwa ikiwasilisha Bajeti yake leo Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Son (kulia) leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia)akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari TUSIIME kutoka Jijini Dar es Salaam, leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Segerea, Mhe. Bonnah kaluwa
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA.
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/yaliyojiri-leo-bungeni-jijini-dodoma.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA."
Post a Comment