MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

soma pia


MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

Wageni Mbali mbali wakiwemo Manaibu Makatibu Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Makamishna wa Bajeti na Sera wakisikiliza hotuba ambapo Wizara ya Fedha na Mipango ilikuwa ikiwasilisha Bajeti yake leo Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Son (kulia) leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Mount Everest kutoka Jijini Dar es Salaam, leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia)akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari TUSIIME kutoka Jijini Dar es Salaam, leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Segerea, Mhe. Bonnah kaluwa

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/matukio-mbalimbali-ya-spika-wa-bunge.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA"

Post a Comment