title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALI SALA YA EID MSIKI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALI SALA YA EID MSIKI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALI SALA YA EID MSIKI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya Eid kwenye Msikiti Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika sala ya Eid kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Juni 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Waislamu baada ya kushiriki katika sala ya Eid kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kushiriki katika sala ya Eid kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Juni 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALI SALA YA EID MSIKI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALI SALA YA EID MSIKI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALI SALA YA EID MSIKI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-asali-sala.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASALI SALA YA EID MSIKI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment