title : Wananchi na Watoto Kijijini Kengeja Kisiwani Pemba Wakiadhimisha Sikukuu ya Eid El Fitry Katika Viwanja vya Skuli Kengeja.
kiungo : Wananchi na Watoto Kijijini Kengeja Kisiwani Pemba Wakiadhimisha Sikukuu ya Eid El Fitry Katika Viwanja vya Skuli Kengeja.
Wananchi na Watoto Kijijini Kengeja Kisiwani Pemba Wakiadhimisha Sikukuu ya Eid El Fitry Katika Viwanja vya Skuli Kengeja.
Tulioyarisi na kuyaacha bado yanaendelea kurisiwa,ndugu zangu nikiwa hapa jijiji kwetu Kengeja Kusini Pemba leo nimeshuhudia makundi ya watoto kutoka viunga tofauti vya hapa kijijini kwetu wakiendelea kifurahia sikukuu ya Eid.Eneo hili tulitumia kaka zao siku kama hizi miaka ya nyuma ambapo sisi pia tulirisishwa na kaka na dada zetu leo wadogo zetu nao wanafurahia.
Kwa hakika haki inapendeza na inatua moyo kwa maana tulioyaacha yanaendelezwa.
Hivyo makala Wananchi na Watoto Kijijini Kengeja Kisiwani Pemba Wakiadhimisha Sikukuu ya Eid El Fitry Katika Viwanja vya Skuli Kengeja.
yaani makala yote Wananchi na Watoto Kijijini Kengeja Kisiwani Pemba Wakiadhimisha Sikukuu ya Eid El Fitry Katika Viwanja vya Skuli Kengeja. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi na Watoto Kijijini Kengeja Kisiwani Pemba Wakiadhimisha Sikukuu ya Eid El Fitry Katika Viwanja vya Skuli Kengeja. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wananchi-na-watoto-kijijini-kengeja.html
0 Response to "Wananchi na Watoto Kijijini Kengeja Kisiwani Pemba Wakiadhimisha Sikukuu ya Eid El Fitry Katika Viwanja vya Skuli Kengeja."
Post a Comment