BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA

BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA
kiungo : BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA

soma pia


BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA


NA TIGANYA VINCENT
TABORA
Mwambawahabari 
Baraza Kuu la waislam Tanzania (BAKWATA) limewataka Waumini wa Kiislamu Mkoani Tabora kuzingatia mfumo rasmi uliowekwa la Baraza hilo kwa ajili ya upokeaji na utoaji taarifa ili kuondoa migogoro.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Tabora Alhaj Ibrahim Mavumbi wakati wa Baraza la Eid El –Fitri ambapo Kimkoa lilifanyika katika Chuo cha Utumishi wa Umma –Uhazili mjini Tabora.
Alisema kimsingi ilishaelezwa kuwa Msemaji Mkuu wa masuala mbalimbali ya Waislamu hapa nchini ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeir ambapo  kwa ngazi za  Mikoa ni Masheikh wa Mikoa husika na inashuka mpaka ngazi za chini.
Sheikh Mavumbi alisema  ni  marufuku kwa Muumini yoyote kutoa matamko ya Waislam Mkoani Tabora bila kuzingatia utaratibu huo kwa kuwa kufanya hivyo ni kutaka kuleta migogoro.
Kufuatia hilo aliiomba Serikali ya Mkoa huo na Jeshi la Polisi kuwashughulikia wale wote ambao watatoa matamko ambayo sio rasmi na hayakufuata utaratibu wa BAKWATA.
Alisema kuachia hali hiyo iendelee ni kukaribisha vurugu na ukosefu wa utiifu wa Mamlaka za juu za BAKWATA
Aidha Sheikh huyo wa Mkoa aliunga mkono iliyotolewa hivi karibuni ya kuwataka viongozi wa Dini wao ndio wawe wasemaji wa masuala yao na sio watu wengine
 mwisho

caption
1. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aagrey Mwanri( wa pili kutoka kulia) akishiriki dua kabla ya kushiriki chakula na Masheikh kutoka maeneo mbalimbali mkoani humo wakati wa sikukuu ya Eid El Fitry.
2 na 3  Baadhi ya waumini wa Kiislam wakifuatilia Baraza la Eid El -Fitry ambalo lilifanyika Kimkoa juzi katika Chuo cha Utumishi wa Umma mkoani Tabora.
4. Sheikh wa Mkoa wa Tabora Ibrahim Mavumbi akitoa salamu za Eid El Fitry kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kushoto) ili naye atoe salamu za Serikali katika Baraza hilo lililofanyika juzi Kimkoa katika Chuo cha Utumishi wa Umma mkoani Tabora.

5.Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa  salamu za Serikali katika Baraza la Eid El Fitry ilifanyika juzi Kimkoa katika Chuo cha Utumishi wa Umma mkoani Tabora.


Hivyo makala BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA

yaani makala yote BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/bakwata-tabora-yapiga-marifuku-utoaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BAKWATA TABORA YAPIGA MARIFUKU UTOAJI WA MATAMKO NJE YA UTARATIBU WA BARAZA"

Post a Comment