title : "WAKUMBUKENI MAYATIMA"
kiungo : "WAKUMBUKENI MAYATIMA"
"WAKUMBUKENI MAYATIMA"
Na. John Luhende
Taasisi ya Abdulah Aid, Markas Kiwalani ya jijini Dar es Salaam imetoa msaada wa Mabegi na vifaa vya shule kwa watoto yatima 200 kutoka vituo mbalimbali vya kulelea watoto hao jijini Dar es Salaam.
Aidha kuelekea kusherehekea sikukuu ya EID-EL-FITRI Taasisi hiyo imegawa mafuta gallon 200 za Lita moja moja kuku 200 na Mchele mifuko 200 ya kila na nusu.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya Abdulah Aid sheik Arif Abdlahaman, amesema ametoa vifaa hivyo ili viweze kuwa saidia watoto hao na wao waweze kula sikukuu kwa amani.
Hivyo makala "WAKUMBUKENI MAYATIMA"
yaani makala yote "WAKUMBUKENI MAYATIMA" Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala "WAKUMBUKENI MAYATIMA" mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wakumbukeni-mayatima.html
0 Response to ""WAKUMBUKENI MAYATIMA""
Post a Comment