WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE

WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE
kiungo : WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE

soma pia


WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE

SHEIKH wa Mkoa wa Tabora Ibrahim Mavumbi amemupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa juhudi zake za kusaidia shughuli mbalimbali za kuendeleza miradi ya madhehebu mbalimbali ikiwemo  ya Waislamu hapa nchini.
Alitoa kauli hiyo mara baada ya Swala ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kimkoa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi jana (leo) mjini Tabora

Sheikh Mavumbi alisema misaada anayochangia ikiwemo ya ujenzi wa nyumba za Ibada ni jambo zuri na linamuonyesha kuwa yeye sio mbaguzi  na ameonyesha mapenzi makubwa aliyonayo kwa watu wote bila kujali tofauti zao , hali inayosaidia kuimarisha umoja wa Kitaifa ulioasisiwa tangu uhuru wa Nchi ya Tanzania.

Sheikh huyo wa Mkoa aliwataka Waislamu wote nchini kuendelea kumuunga mkono Rais Magufuli na Serikali yake katika jitihada zake mbalimbali za kuwaletea wananchi maendeleo hapa nchini.

Alitoa wito kwa wakazi wote Mkoani hapa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kudumisha mshikamano na upendo ili amani iliyopo iendelee kudumu na waumini waendelea kusali bila wasiwasi katika nyumba zao za Ibada.

Aidha Sheikh Mavumbi aliwataka Masheikh wa ngazi zote na Maimam kuhakikisha kuwa ndoa wanazofungisha zingatie maandiko matakatifu ili kuepuka kusababisha kuwepo na ndoa za utotoni mkoani humo.
 Sheikh  wa Mkoa wa Tabora Ibrahim Mavumbi (mbele) akiongoza Swala ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kimkoa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi jana (leo) mjini Tabora.
 Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislaam wakiwa katika Swala ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kimkoa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi jana (leo) mjini Tabora.
 Baadhi wakimama wa dini ya Kiislam wakisikiliza salamu za Eid El Fitri kwa niaba ya Serikali kutoka kwa  Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandizi wa Magereza(SACP) Hamza Hamza (hayupo katika picha) mara baada ya Swala ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kimkoa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi jana (leo) mjini Tabora.
Baadhi ya Wakinababa wa dini ya Kiislam wakisikiliza salamu za Eid El Fitri kwa niaba ya Serikali kutoka kwa  Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandizi wa Magereza(SACP) Hamza Hamza (hayupo katika picha) mara baada ya Swala ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kimkoa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi jana (leo) mjini Tabora.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE

yaani makala yote WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/waislam-tabora-wampongeza-jpm-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE"

Post a Comment