MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA.

MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA.
kiungo : MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA.

soma pia


MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA.

 Mwambawahabari
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir  (wapili kulia) na Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salim (wapili kushoto) baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika  Baraza la Eid, Juni 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir (kushoto) kuingia kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Baraza la Eid Juni 15, 2018. Wapili kushoto ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Baadhi ya waliohudhuria katika Baraza la Eid wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza hilo akimwakilisha  Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Juni 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)



Hivyo makala MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA.

yaani makala yote MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/majaliwa-amwakilisha-jpm-baraza-la-eid.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJALIWA AMWAKILISHA JPM BARAZA LA EID - PICHA ZAIDI NITATUMA BAADAE SHUGHULI BADO INAENDELEA."

Post a Comment