WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018

WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018
kiungo : WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018

soma pia


WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018

*Ni katika kesi ya kudaiwa kuhujumu uchumi inayowakabili, yupo Masoud Suleiman Kova

 Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

WAFANYAKAZI wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na wenzao wawili wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia TPA hasara ya Sh.26,041,782.73,ambapo Juni 18 mwaka huu watasomewa maelezo ya awali (PH).

Washtakiwa ambao watasomewa PH katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Thomas Simba ni  Masoud Suleiman Kova (36) mhasibu wa TPA washtakiwa wengine ni Lydia Kimaro (52) mhasibu TPA, Ally Mkango (54)  Oparesheni ofisa wa TPA na Aron Luisinga (35) mhasibu TPA. Wengine ni wafanyakazi wa benki ya CRDB,  Grace Komba (41) na Juma Ng'oka (41).

Wakili wa Serikali Mwandamizi, Patrick Mwita alidai mahakamani hapo kuwa kesi hiyo leo ilipangwa kwa ajili ya washtakiwa kusomewa PH lakini bado hajamaliza kuiandaa.Hivyo taarifa hiyo,  kesi imeahirishwa hadi Juni 18 mwaka huu.

Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka ya kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kushindwa kuzuia kutendeka kwa kosa na kusababisha hasara.


Hivyo makala WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018

yaani makala yote WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wafanyakazi-wanne-mamlaka-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA MAELEZO YA AWALI JUNI 18,2018"

Post a Comment