title : VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR
kiungo : VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR
VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Wateja wa Mikataba (Business Enterprise Unit) Vodacom Tanzania, Arjun Dhillon akitoa neno la shukrani kwa baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania walioudhuria kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja kutoka Vodacom Tanzania, Bakari Kamenge akizungumza na baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati mtandao huo ulipoandaa futari mahsusi kwa wateje hao ili kuongeza ukaribu na wateja wao.
Baadhi ya wateja na wafanyakazi wa mtandao wa simu wa Vodacom Tanzania wakichukua futari, wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wateja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuturu wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wateja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakibadilishana mawazo mara baada ya kufuturu pamoja kwenye futari iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam
Hivyo makala VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR
yaani makala yote VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/vodacom-tanzania-yafuturisha-wateja.html
0 Response to "VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR"
Post a Comment