title : Harmonize Ajisifia Kusafiri na Mpenzi Wake wa Kizungu Kwenda Marekani
kiungo : Harmonize Ajisifia Kusafiri na Mpenzi Wake wa Kizungu Kwenda Marekani
Harmonize Ajisifia Kusafiri na Mpenzi Wake wa Kizungu Kwenda Marekani
Msanii kutoka label ya WCB, Harmonize amefunguka na kuzungumzia safari yake ya Marekani ambayo ameambatana na mpenzi wake sarah huku wakisindikizwa na mapicha picha ambayo anapost katika ukurasa wake wa Instagram zikiwaonesha wakiwa sehemu tofauti tofauti wakila Bata
.
.
Harmonize amesema Sarah ni mke wake kwasasa na wameenda Miami kwaajili ya kurefresh mind tu, ambako ndipo yalipo makazi ya familia ya mpenzi wake .
.
. "Right now Sarah, she is my wife so tulikuwa Ocean road Marekani sehemu moja panaitwa Miami mtaa unaita Ocean road so tulikuwa tuna drive, tuna have fun. so yeye alitakiwa aje uku kulifresh mind kwasababu hajaja huku muda mrefu halafu kuna familia yake so nikaja nae" alisema Harmonize .
.
.
Harmonize yupo Miami na Mpenzi wake Sarah kwaajili ya ku-refresh mind tu.
Hivyo makala Harmonize Ajisifia Kusafiri na Mpenzi Wake wa Kizungu Kwenda Marekani
yaani makala yote Harmonize Ajisifia Kusafiri na Mpenzi Wake wa Kizungu Kwenda Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Harmonize Ajisifia Kusafiri na Mpenzi Wake wa Kizungu Kwenda Marekani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/harmonize-ajisifia-kusafiri-na-mpenzi.html
0 Response to "Harmonize Ajisifia Kusafiri na Mpenzi Wake wa Kizungu Kwenda Marekani"
Post a Comment