title : PROF. KABUDI ATEMBELEA IHUMWA ATOA MAAGIZO
kiungo : PROF. KABUDI ATEMBELEA IHUMWA ATOA MAAGIZO
PROF. KABUDI ATEMBELEA IHUMWA ATOA MAAGIZO
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ametembelea eneo linapojengwa jengo la Wizara yake na kuagiza timu maalum kupiga kambi eneo hilo ili kuhakikisha ujenzi unafanyika usiku na mchana huku wakizingatia viwango vya ubora katika ujenzi wa jengo hilo. 

“Nataka ujenzi uharakishwe kama ambavyo Waziri Mkuu alivyogiza lakini viwango vya ubora katika ujenzi vizingatiwe” alisema Prof. Kabudi.
Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome amemtaka mkandarasi anayejenga jengo la Wizara hiyo kuhakikisha anakusanya mahitaji yote yanayotakiwa eneo la ujenzi ili kufanikisha kasi ya ujenzi inaenda kama inavyotakiwa.

Ujenzi wa Jengo la Wizara ya Katiba na Sheria unatarajiwa kukamilika mapema ifikapo tarehe 15 Januari 2019.

Hivyo makala PROF. KABUDI ATEMBELEA IHUMWA ATOA MAAGIZO
yaani makala yote PROF. KABUDI ATEMBELEA IHUMWA ATOA MAAGIZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROF. KABUDI ATEMBELEA IHUMWA ATOA MAAGIZO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/prof-kabudi-atembelea-ihumwa-atoa.html
0 Response to "PROF. KABUDI ATEMBELEA IHUMWA ATOA MAAGIZO"
Post a Comment