title : SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA
kiungo : SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA
SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo
Sehemu ya Waumini wa Kiisalamu mbali mbali wakiwa katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo
Sehemu ya kinamama Waislamu wakijumuika pamoja katika swala ya Eid El Fitri baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo
Waumini wakisikiliza Hotuba ya baada ya Swala ya Eid El Fitri iliyotolewa na Sheikh Khalid Ali Mfaume leo katika katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar baada ya Idaba ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali waitikia dua iliyoombwa baada ya swala ya Eid El Fitri kwa kukamilisha ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo. Picha na IKULU.
Hivyo makala SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA
yaani makala yote SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/swala-eid-el-fitri-uwanja-maisara.html
0 Response to "SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA"
Post a Comment