title : SPRITE BBALL KINGS HATUA YA MCHUJO KUFANYIKA KESHO
kiungo : SPRITE BBALL KINGS HATUA YA MCHUJO KUFANYIKA KESHO
SPRITE BBALL KINGS HATUA YA MCHUJO KUFANYIKA KESHO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Michuano ya Sprite BBall Kings 2018 yanaanza kutimua vumbi kesho kwa michezo 25 kuchezwa katika hatua ya mtoano kwenye Viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park Kidongo Chekundu Jijini Dar es salaam.
Michezo hiyo katika hatua ya mtoano itazikutanisha timu 50 kutoka sehemu mbalimbali za Jijini Dar es Salaam ili kuweza kupata timu 15 zitakazoungana na bingwa mtetezi Mchenga BBall Stars walioingia moja kwa moja kwenye hatua ya 16 bora.
Michuano hiyo inayofanyika kwa mara ya pili imeandaliwa na kituo cha Televishen cha East Africa na Radio yakidhaminiwa na kinywaji cha Sprite.
Mechi ya kwanza itaanza saa 2 asubuhi na mpaka kufikia 11 jioni michezo yote 25 itakua imemalizika na kupatikana timu zitakazoingia hatua inayofuata ya mchujo.a.
Mshindi wa kwanza anajinyakulia Shiling Milion 10 na kikombe, mshindi wa pili milion 3 na mchezaji bora wa miachuano anajinyakulia milion 2 na kikombe.
RATIBA YA MASHINDANO SPRITE BBALL KINGS 2018 HATUA YA MTOANO TEAM VS TEAM
1. Dream Chaser VS Temeke Heroes
2. The Fighter VS Force One
3. Flying Dribblers VS Kurasini Worriours
4. TMT VS Street Ballers
5. God With Us VS External Heroes
6. DMI VS Madale State
7. Ardhi Univ VS The Kazi 8 Lycans
8. Ukonga Worriours VS Little Saints
9. Oysterbay VS Ilala East Zone
10. BTP VS Grounders
11. Oratory VS Mbezi Beach KKKT
12. The Snipers VS Young Boys
13. Eagle Wings VS Portland
14. Goldernt Talents VS Montfort Kings
15. Ukonga Hitmen VS Yombo Patriot
16. The Hashtag VS BV
17. Bankers VS Water Institute (W.I)
18. NIT Ballers VS Air Wings
19. Fast Heat VS Street Worriours
20. Stlylers VS Denthshoppers Bball Team
21. Loyolight VS Kigamboni City
22. K Worriors Kijichi VS Team Kiza
23. Madena Ballers VS St Joseph
24. The Magic VS Raptors
25. Weusi Basket Ball Club VS Kichangani
Hivyo makala SPRITE BBALL KINGS HATUA YA MCHUJO KUFANYIKA KESHO
yaani makala yote SPRITE BBALL KINGS HATUA YA MCHUJO KUFANYIKA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPRITE BBALL KINGS HATUA YA MCHUJO KUFANYIKA KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/sprite-bball-kings-hatua-ya-mchujo.html
0 Response to "SPRITE BBALL KINGS HATUA YA MCHUJO KUFANYIKA KESHO"
Post a Comment