Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.

soma pia


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Viongozi na Wananchi wa Mkanyageni katika Swala ya Mgaharibi kabla ya Futari aliyowaandalia Wananchi wa Eneo hilo  katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kufutarisha kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Wananchi wa Jimbomla Mkanyageni wakisubi wakati wa Swala ya Magharibi jana katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali katika Futari aliyoiandaa kwa Wananchi wa Mkanyageni   katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Jimbo la Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkowa Kusini Pemba wakiwa katika Futari iliyoaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na Viongozi Wanawake katika Futari iliyoaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,(kulia) Mshauri wa Rais Pemba Bi.Mauwa Abeid Daftari  na Mshauri wa  Rais Mambo ya Jamii Bi Zainab Omar Mohamed, 
Sheikh Abdalla Yussuf Ali alipokuwa akitoa shukurani na kuomba dua kwa niaba ya  Wananchi wa Jimbo la Mkanyageni jana baada ya Futari uiliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi mara baada ya kumalizika kwa futari  aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkanyageni jana katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani ikiwa ni  utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba kila ifikapo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akiagana na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika futari  aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkanyageni jana katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani ikiwa ni  utaratibu wake wa  kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba kila ifikapo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemedi Suleiman,[Picha na Ikulu.] 08/06/2018. 


Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_8.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi wa Mkanyageni Katika Iftar Ilioandaliwa na Rais kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba."

Post a Comment