title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma (katikati) akisoma muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Juni 2018 katika kikao cha siku moja cha Uongozi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Dkt.Idrisa Muslim Hija (kulia) akifafanua jambo wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi katika utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mshauri wa Rais Ushikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa (kushoto).
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee akichangia pamoja na kutoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi cha utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakiwa katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wakurugenzi katika Idara za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rais-wa-zanzibar-dk-shein-akutana-na.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI"
Post a Comment