title : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za mawasiliano za kampuni ya TTCL nchi nzima baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na menejimenti ya TTCL Corporation baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation na kuzindua huduma za shirika hilo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Moshi Selemani Kakoso baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation Bw. Waziri Kindamba baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa Shirika hilo na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa Kampuni ya TTCL na kuzindua huduma za Shirika hilo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rais-dkt-magufuli-azindua-upanuzi-wa.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION"
Post a Comment