MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI

MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI
kiungo : MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI

soma pia


MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI

Na Emmanel Massaka ,Globu ya jamii

MWENYEKITI wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Said Subety amewataka madereva wote wa gari, pikipiki na bajaji kuwa makini katika Sikukuu ya Eid Alfitri kwani siku hiyo kunakuwa na watoto wengi barabarani.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Subety amesema katika Sikuu ya Eid ni vema jamii ikachukua tahadhari kwa kuhakikisha hakuna ajali ambazo zinatokea na hasa kwa watoto na kwamba vipengele vya umakini vimegawanyika katika maeneo matatu katika sherehe ya sikuku hiyo. 

Amesema kwanza ni umakini kwa wazazi na walezi ambapo amefafanua jinsi watoto wanavyokuwa wengi wakisheherekea sikuku hiyo kwa kurandaranda sehemu mbalimbali wakiwa na furaha na hata bila ya tahadhari yoyote, bila wazazi au uangalizi makini wanahitaji kuangaliwa kwa umakini.

Amesema na mara nyingi kiongozi wao ni mtoto mwenzao na hakika matembezi yao wanatembelea sehemu nyingine ni hatarishi kama baharini ambako watoto wengi hupenda kwenda huko kwa ajili ya kuogelea na barabarani, hivyo amewasisitiza wazazi wasiwaache watoto wakienda bila uangalizi wa maana.

Pia kwa wenye kumbi za starehe ambazo zitachukua watoto washeherekee nao wawe makini na wasifanye biashara kwa tamaa kubwa kwa kuwajaza watoto kupita uwezo wa kumbi zao kwani ni hatari.

"Tunawapongeza sana Waislamu wote hususani wale waliofunga Mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu apokee swaumu zetu, kwa baraka za funga zao, Mungu atujalie ulinzi wa amani wa nchi yetu, Rais wetu Dk. John Magufuli na wananchi wote, Amen,"amesema. 
 Mjumbe wa kamati ya utekelezaji baraza la Wilaya ya Wazazi Kinondoni,kwege Nyangunda asisitiza jambo katika mkutano huo uliofanyika katika ofisi za sisi Kinondoni.
 Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Kinondoni wa Chama cha Mapinduzi,Said Dubety (kulia)akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mandereva waendeshai vyombo vya moto kuwa makini barabarani,siku ya sikukuu ya (Eid Elfri) .kulia ni Mjumbe wa mkutano mkuu wazazi Taifa,Hassan Kaniki.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii)
Picha ya pamoja



Hivyo makala MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI

yaani makala yote MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mwenyekiti-wa-wazazi-kinondoni-ahimiza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI"

Post a Comment