title : MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAPIGA MSASA ARU KUHUSU WAJIBU WA KUTOA TAARIFA KWA UMMA, PIA MASWALA YA ITIFAKI
kiungo : MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAPIGA MSASA ARU KUHUSU WAJIBU WA KUTOA TAARIFA KWA UMMA, PIA MASWALA YA ITIFAKI
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAPIGA MSASA ARU KUHUSU WAJIBU WA KUTOA TAARIFA KWA UMMA, PIA MASWALA YA ITIFAKI
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa akizungumza machache wakati wa ufunguzi wa semina ya viongozi na wafanyakazi wa ARU iliyoendeshwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO pia Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbass (kushoto) na Mwanadilpomasia Lucas Jackson (hayupo pichani) chuoni hapo mwishoni mwa wiki. Katikati ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo, Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Robert Kiunsi. Na Robert Okanda
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO pia Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbass akitoa mada ya kuhusu umuhimu wa taasisi za serikali kutoa taarifa kwa umma na kusisitiza kwa mujibu wa sheria zinapaswa kutoa taarifa wana habari ndani ya siku 21 toka zinapokuwa zimehitajika wakati wa semina hiyo iliyofanyika ARU Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO pia Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbass akitoa mada ya kuhusu umuhimu wa taasisi za serikali kutoa taarifa kwa umma na kusisitiza kwa mujibu wa sheria zinapaswa kutoa taarifa wana habari ndani ya siku 21 toka zinapokuwa zimehitajika wakati wa semina hiyo iliyofanyika ARU Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (kushoto) na sehemu ya viongozi wa ARU wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO pia Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbass alipokuwa akiwasilisha mada. Kutokea (kushoto) ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Profesa Gabriel Kissenga, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Robert Kiunsi na Mwanadilpomasia kutoka Kituo cha Diplomasia Dar es Salaam, Lucas Jackson (kulia).
Hivyo makala MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAPIGA MSASA ARU KUHUSU WAJIBU WA KUTOA TAARIFA KWA UMMA, PIA MASWALA YA ITIFAKI
yaani makala yote MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAPIGA MSASA ARU KUHUSU WAJIBU WA KUTOA TAARIFA KWA UMMA, PIA MASWALA YA ITIFAKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAPIGA MSASA ARU KUHUSU WAJIBU WA KUTOA TAARIFA KWA UMMA, PIA MASWALA YA ITIFAKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/msemaji-mkuu-wa-serikali-awapiga-msasa.html
0 Response to "MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWAPIGA MSASA ARU KUHUSU WAJIBU WA KUTOA TAARIFA KWA UMMA, PIA MASWALA YA ITIFAKI"
Post a Comment