title : JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM
JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM
Watanzania wenye asili ya kihindi wakiwa kwenye kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam, kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa katika shughuli za uzimaji moto baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam,kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakijiandaa kupokea waathirika wa janga la moto katika shughuli za uzimaji moto baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam,kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Jengo la ghorofa 12 lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi lililoshika moto na kufanikiwa kuzimwa na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,leo jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji
Kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuzima moto,kuokolea watu na mali kwenye majengo marefu, kikisaidia uokoaji katika jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam, baada ya kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Hivyo makala JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/jeshi-la-zimamoto-lafanikiwa-kuzima_28.html
0 Response to "JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment