MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA

MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA
kiungo : MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA

soma pia


MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA

MNADHIMU Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Yacoub Mohamed amewaonya askari wapya wa jeshi hilo kutojiingiza katika masuala ya siasa.

Aidha hakusita kuwapa tahadhari zaidi kwamba atakayebainika atachuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwano kufukuzwa jeshini.

"Jeshini hakuna siasa, hapa mnaenda kutekeleza Katiba ya nchi, jukumu lenu kubwa ni kulinda mipaka ya nchi, Katiba na maelekezo kutoka kwa viongozi wenu," alisema Luteni Jenerali Mohamed.Mafunzo hayo yalihusisha vijana 2,253 yalifanyika kwa miezi 4 katika Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi (RTS), Kihangaiko iliyopo Bagamoyo Pwani.

Kwa upande Kaimu Mkuu wa Shule hiyo Kanali Sijaona Myala alisema kazi ya jeshi ni kuandikisha askari kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi na vita."Kazi ya jeshi ni kuandikisha askari na si ajira, ikitokea vita hata hawa wote wakifa, tutaandikisha wengine," alisema Kanali Myala.


Mbali ya kufungwa kwa mafunzo hayo, askari waliohitimu walionyesha maonyesho ya ukakamavu, sarakasi na vikwazo.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Yacoub Mohamed akikagua gwariide la askari wapya wa JWTZ waliomaliza mafunzo yao ya awali katika Shule ya Kijeshi RTS Kihangaiko iliyopo Bagamoyo, Pwani nyuma mwisho ni Kaimu Mkuu wa Shule hiyo Kanali Sijaona Myala.
Maofisa wa JWTZ wakiongoza Gwaride wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa askari wapya 2,253 yaliyofanyika Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi RTS Kihangaiko Bagamoyo mkoani Pwani. 
Mwalimu wa moja ya michezo ya ukakamavu akionyesha namna ya kupita chini ya moto wakati wa maonyeshi yaliyofanyika chuoni hapo.
Askari wapya wakipimana nguvu kwa kuzichapa mbele ya mgeni rasmi Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lutena Jenerali Yacoub Mohamed aliyefunga mafunzo ya awai ya askari hao 2,253 yalifanyika Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijesjhi (RTS) Kihangaiko Bagamoyo Pwani. 
Askari wapya wakimsikiliza mgeni rasmi Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Yacoub Mohamed alipokuwa akizungumza nao kabla ya kufunga mafunzo yao ya kundi la 38A/17 lililokuwa na askri 2253. 
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Yacoub Mohamed katikati akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa jeshi waliopop kazini pamoja na wastaafu wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa askari 2253 yaliyofanyika Shule ya Mafunzo ya Aawali ya Kijeshi RTS Kihangaiko Pwani. 



Hivyo makala MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA

yaani makala yote MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mnadhimu-mkuu-jwtz-awaonya-askari-wapya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MNADHIMU MKUU JWTZ AWAONYA ASKARI WAPYA KUTOJIINGIZA KATIKA SIASA"

Post a Comment