Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu

Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu
kiungo : Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu

soma pia


Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu


Na Heri Shaaban
Mwambawahabari
MANISPAA ya Ilala imezifungia mahabara bubu na maduka ya dawa yasio na sifa ambayo yanatoa huduma kinyume cha sheria.
 Oparesheni hiyo endelevu ya kuzifungia mahabara hizo na maduka ya dawa imeanza Dar es Salaam jana katika Jimbo  la SEGEREA, UKONGA na Ilala.

Akizungumza katika ziara Mratibu wa Vituo Binafsi Manispaa ya Ilala Dkt. Wille Sangu alisema maduka ya dawa ambayo wanayafungia  ambayo wahudumu wake hawana sifa  za kuendesha huduma hiyo na wengine wanatoa huduma za kuwachoma sindano wateja tofauti na kibali chao.

"Ofisi ya Mganga Mkuu Ilala imeweka utaratibu wake kila mwaka kufanya ziara ya ukaguzi  wa  kuzikagua mahabara bubu ambazo hazina vibari na Duka za dawa Mara baaada kuwakamata kuwataka wafuate taratibu za usajili ili kutoa huduma bora kwa wananchi wa Wilaya ya Ilala" alisema DKT Sangu


Sangu alisema katika oparesheni hiyo pia walifunga maduka ya dawa ambayo yalikuta watoa huduma wasio na sifa na maduka mengine yakijiusisha na upimaji VVu,utoaji mimba na uchomaji sindano.

Aliwataka watoa huduma wote ambao wamekamatwa jana kwenda Manispaa ya Ilala kwa ajili ya  taratibu .

Amewataka Wananchi watumie vituo vya tiba Kwa ajili ya matibabu mahabara kwa ajili ya vipimo na maduka ya dawa kwa ajili ya kununua dawa, ukikuta duka la dawa linatoa tiba au  mahabara  wanatoa tiba ni hatari kwa AFYA yako.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa MANISPAA ya Ilala Dkt. Emily Lihawa aliwataka Wamiliki wa vituo vya kutolea huduma katika wilaya hiyo, wafuate miongozo yote ya hutoaji huduma ya Afya.

Dkt .Lihawa aliwataka Wamiliki watoe huduma kulingana na vibali vyao wasikiuke  kanuni,kikubwa wafuate miongozo  ya kukinga na kuthibiti maambukizi wakati wa utoaji huduma za afya.

Katika ziara hiyo ilifungia mahabara Bubu na Zahanati KIWALANI, TABATA, KIVULE  ,Minazi mirefu na kuwataka Wamikiki wote kufuata taratibu za usajili.



Hivyo makala Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu

yaani makala yote Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/manispaa-ya-ilala-yafungia-maabara-bubu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Manispaa ya Ilala yafungia maabara bubu"

Post a Comment