title : Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yafanyika Mkoani Iringa
kiungo : Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yafanyika Mkoani Iringa
Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yafanyika Mkoani Iringa
Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha akifuatilia jambo kwa washiriki wa mafunzo wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yanayoendelea Mkoani Iringa yakiwashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.
Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yanayoendelea Mkoani Iringa yakiwashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.
Washiriki wa mafunzo wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) wakifanya mafunzo kwa vitendo kwa kutumia mfumo mpya wa Epicor 10.2 leo Mkoani Iringa ambapo mafunzo hayo yanawashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.

Washiriki wa mafunzo wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) wakifanya mtihani wa tathmini katika magrupu leo Mkoani Iringa ambapo mafunzo hayo yanawashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.
Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha(kushoto) akifuatiia jambo na Mtaalamu mshauri wa Masuala ya rasilimali fedha Bi.Hellen Nyagwa wakati wa mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yanayofanyika kwa wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.
Washiriki wa mafunzo wa Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) wakifanya mafunzo kwa vitendo kwa kutumia mfumo mpya wa Epicor 10.2 leo Mkoani Iringa ambapo mafunzo hayo yanawashirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Tanga,Iringa na Morogoro.
Picha na Daudi Manongi,MAELEZO, IRINGA
Hivyo makala Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yafanyika Mkoani Iringa
yaani makala yote Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yafanyika Mkoani Iringa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yafanyika Mkoani Iringa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mafunzo-ya-mfumo-wa-usimamizi-wa-fedha.html
0 Response to "Mafunzo ya Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yafanyika Mkoani Iringa"
Post a Comment