title : Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Baada ya Michuano ya Kagame Julai 2018.
kiungo : Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Baada ya Michuano ya Kagame Julai 2018.
Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Baada ya Michuano ya Kagame Julai 2018.
Nane bora ya ligi kuu ya Zanzibar kuanza baada ya kumaliza kwa KAGAME. Huku FA cup kuanza baada ya kumaliza kwa Ramadhani na Sitat shawal (6).Katibu mkuu wa chama cha mpira wa miguu Zanzibar MOHAMED ALI TEDY amesema 8 bora ya ligi kuu ya Zanzibar inategemea kuanza 14 july baada ya kumaliza kwa kombe la KAGAME, wameamua kufanya hivyo baada ya ushiriki wa JKU katika mashindano ya Kagame yanayo tarajiwa kuanza june 29 na kumaliza 13 jully.
Pia Tedy amesema baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na sitatu shauwal (6) kumaliza wanategemea kuanza kwa kombe la FA ambalo zawadi zake zitatolewa na raisi wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr ALI.M. SHEIN. Mashindano hayo yatachezwa kwa kanda 2 kand ya Unguja na Pemba.
Mshindi wa kila kanda watacheza fainali na kupata bingwa wa FA CUP 2018.
Hivyo makala Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Baada ya Michuano ya Kagame Julai 2018.
yaani makala yote Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Baada ya Michuano ya Kagame Julai 2018. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Baada ya Michuano ya Kagame Julai 2018. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/nane-bora-ligi-kuu-ya-zanzibar-kuaza.html
0 Response to "Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar Kuaza Baada ya Michuano ya Kagame Julai 2018."
Post a Comment