Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma.

Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma.
kiungo : Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma.

soma pia


Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma.




 Mwamba wa habari

 Maafisa TEHAMA kutoka Halmashauri za Wilaya ya Kiteto, Hanang’ na Babati wakifanya mazoezi ya namna mfumo mpya wa malipo (epicor 10.2) unavyofanya kazi na namna gani ya kukabiliana na changamoto zitakazojitokeza katika mfumo huo pindi utakapoanza kutumika Julai 1 mwaka huu katika Halmashauri zote za wilaya, miji na majiji hapa nchini.


 Afisa TEHAMA, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Robert Dudu (aliyesimama) akitoa maelekezo ya namna gani Afisa TEHAMA anatakiwa kutatua matatizo katika mfumo mpya wa malipo (epicor 10.2) wakati wa mafunzo ya mfumo huo kwa Maafisa TEHAMA kutoka Halmashauri za Mikoa ya Dodoma, Singida, Arusha, Shinyanga, Kigoma na Manyara, leo Jijini Dodoma.


Maafisa TEHAMA kutoka Halmashauri za Mikoa ya Dodoma, Singida, Arusha, Shinyanga, Kigoma na Manyara wakifuatilia mafunzo ya mfumo mpya wa malipo (epicor 10.2) leo, Jijini Dodoma.



Maafisa TEHAMA kutoka Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mpwawa na Bahi wakifuatilia mafunzo ya mfumo wa malipo (epicor 10.2) ambayo yametolewa kwa Maafisa TEHAMA kutoka Mamlaka zote za Serikali za Mitaa  ili kuwapa uelewa wa namna gani ya kutatua changamoto katika mfumo huo mara utakapoanza kutumika na Mamlaka hizo kuanzia Julai 1 mwaka huu.


Afisa TEHAMA kutoka Halmashauri ya Mji Shinyanga, Bw. Stanley Manyonyi na Afisa TEHAMA kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Swaumu Hamza wakiendelea na mafunzo ya mfumo mpya wa malipo (epicor 10.2) leo, Jijini Dodoma.

(Picha Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma)


Hivyo makala Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma.

yaani makala yote Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/maafisa-tehama-wakamilisha-mafunzo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2) Jijini Dodoma."

Post a Comment