title : TIMU YA SOKA YA UFARANSA YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA
kiungo : TIMU YA SOKA YA UFARANSA YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA
TIMU YA SOKA YA UFARANSA YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA
Mwamba wa habari
Majogoo ya Ufaransa wamefanikiwa kuibuka na ushindi katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi kwa kuilaza Australia goli 2-1
Mabao ya mchezo huo yametiwa kimiani na Antoine Griezmann katika dakika ya 58 kwa njia ya mkwaju wa penati na la pili likitiwa kimiani na Paul Pogba .
Bao pekee la Australia liliwekwa wavuni na Mile Jedinak mnamo dakika ya 62 kwa mkwaju wa penati.
Mechi hii imekuwa ya kwanza kushuhudiwa penati mbili ndani ya dakika 90 zikipigwa kwa pande zote.
Ushindi huu wa Ufaransa unawapa alama tatu muhimu kwenye kundi C ambapo baadaye Peru na Denmark watakuwa wanacheza pia kutoka kundi hilo.
Muda huu kuna mechi ina endelea kati ya Argentina na Iceland mabao ni 1-1 , tutaendelea kukujuza matokeo zaidi ya mechi hii na zinazoendelea nawe endelea kutufuatilia hapa https://ift.tt/2teYT44
Hivyo makala TIMU YA SOKA YA UFARANSA YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA
yaani makala yote TIMU YA SOKA YA UFARANSA YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIMU YA SOKA YA UFARANSA YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/timu-ya-soka-ya-ufaransa-yaanza-vyema.html
0 Response to "TIMU YA SOKA YA UFARANSA YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA"
Post a Comment