KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND
kiungo : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND

soma pia


KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND

 Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga akisalimiana na Makamu wa Rais wa Abbott Fund kutoka Marekani Bw. Andy Wilson wakati Makamu wa Rais wa Mfuko huo alipomtembelea leo Ofisi kwake Jijini Dodoma ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali yahusuyo utoaji wa huduma kwa watoto waishio katika mazingira magumu nchini.
 Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga akifurahia jambo na Makamu wa Rais wa Abbott Fund kutoka Marekani Bw. Andy Wilson wakati Makamu wa Rais wa Mfuko huo alipomtembelea leo Ofisi kwake Jijini Dodoma ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali yahusuyo utoaji wa huduma kwa watoto waishio katika mazingira magumu nchini.
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja  na Makamu wa Rais wa Abbott Fund kutoka Marekani Bw. Andy Wilson (wa pili kushoto) mara baada ya mazungumzo wakati Makamu wa Rais wa Mfuko huo alipomtembelea leo Ofisi kwake Jijini Dodoma ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali yahusuyo utoaji wa huduma kwa watoto waishio katika mazingira magumu nchini kushoto ni Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt Naftali Ng’ondi na kulia ni Meneja Programu wa Abbott Fund Bw. Alfred Magalla. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW


Hivyo makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND

yaani makala yote KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/katibu-mkuu-sihaba-nkinga-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND"

Post a Comment