CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO

CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO
kiungo : CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO

soma pia


CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF limetaja waamuzi kutoka nchini Somalia kuchezesha mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi kati ya Gor Mahia ya Kenya na Young Africans ya Tanzania utakaochezwa Uwanja wa Moi Kasarani Julai 18,2018.

Kwenye mchezo huo Mwamuzi wa katikati atakua Hassan Mohamed Hagi akisaidiwa na Mwamuzi namba 1 Hamza Hagi Abdi, Mwamuzi msaidizi namba 2 Suleiman Bashir Sh.Abdi na Mwamuzi wa akiba Nur Muhidin Mohamed.

Mtathmini waamuzi anatokea Gabon Jan Olivier Mbera na Kamishna wa mchezo anatokea Africa Kusini Simphiwe Brian Xaba sambamba na mratibu wa mchezo huo Nomsa Jacobeth Mahlangu.

Aidha mchezo wa marudiano kwa timu hizo utakaochezwa July 29,2018 Kwenye Uwanja wa Taifa wenyewe utachezeshwa na Waamuzi kutoka Mauritius. 

Mwamuzi wa katikati atakuwa Ahmed Imtehaz Heeralall akisaidiwa na Mwamuzi msaidizi namba 1 Cauvelet Louis Ralph Fabian,Mwamuzi msaidizi namba 2 Akhtar Nawaz Rossaye na Mwamuzi wa akiba Ganesh Chutooree.

Kamishna wa mchezo anatokea Zambia Patrick Kangwa, Mtathmini waamuzi anatokea Congo Louzaye Rene Daniel wakati Mratibu anatokea Nigeria Nasiru Sarkintudu Jibril.


Hivyo makala CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO

yaani makala yote CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/caf-yataja-waamuzi-watakaochezesha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO"

Post a Comment