title : BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YATIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE,YATOA NENO KWA WATANZANIA
kiungo : BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YATIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE,YATOA NENO KWA WATANZANIA
BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YATIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE,YATOA NENO KWA WATANZANIA
Na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii
BENKI ya Watu wa Zanzibar(PBZ),leo imefanya Sherehe ya kutimiza miaka 52 tangu kuanzishwa kwake ambapo uongozi wa benki hiyo umewaomba Watanzania kuhakikisha wanafungua akaunti kwao.
Pia benki hiyo imewahakikishia Watanzania kuendelea kutoa huduma bora kutoka wa watumishi ambao wanaifanya kazi yao kwa weledi mkubwa.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam leo na Meneja Mkaguzi wa ndani wa Benk ya Watu wa Zanzibar wa tawi la Tazara, Suleiman Ali Seleiman baada ya kukata keki katika hafla ya kutimiza miaka hiyo 52 tangu kuazishwa kwake.
Akizungumza leo na Blogu ya jamii Suleiman ametoa mwito kwa wananchi kujiunga na benki hiyo ili kurahisisha shughulizao na hasa zinazohusu huduma za kibenki.
Picha ya pamoja
Meneja wa mkaguzi wa ndani wa Benk ya watu wa Zanzibar tawi la Tazara Suleiman Ali Suleiman akimlisha keki mteja katika hafla ya miaka 52 tangu kuazishwa kwake.
Meneja wa mkaguzi wa ndani wa Benk ya watu wa Zanzibar tawi la Tazara Suleiman Ali Suleiman akimlisha keki Meneja tawi ta Tazara,Fatma Khamis Mohad leo katika hafla ya kuazimisha miaka 52.
Meneja wa mkaguzi wa ndani wa Benk ya watu wa Zanzibar tawi la Tazara Suleiman Ali Suleiman akimlisha keki mteja katika hafla ya miaka 52 tangu kuazishwa kwake.
Hivyo makala BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YATIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE,YATOA NENO KWA WATANZANIA
yaani makala yote BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YATIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE,YATOA NENO KWA WATANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YATIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE,YATOA NENO KWA WATANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/benki-ya-watu-wa-zanzibar-yatimiza.html
0 Response to "BENKI YA WATU WA ZANZIBAR YATIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE,YATOA NENO KWA WATANZANIA"
Post a Comment