BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA

BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA
kiungo : BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA

soma pia


BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA

Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Jane Ikira, akimkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, alipotembelea banda la benki hiyo. Katikati ni Meneja Mahusiano wa benki hiyo anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford.
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford (katikati), akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika banda lao wakati wa mkutano wa mashauriano na wadau na maonyesho ya bidhaa na huduma za ujenzi yanayofanyika mkoani Dodoma.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la LAPF-Dodoma, Martha Ngwenya, akipeana mkono na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, alipotembelea banda la benki hiyo.
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Nasibu Kalamba (kushoto), akielezea juu ya huduma na bidhaa zinazotolewa na Benki ya CRDB kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (kulia).

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA

yaani makala yote BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/benki-ya-crdb-yadhamini-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA"

Post a Comment