Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO

Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO
kiungo : Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO

soma pia


Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO





Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii. (ESRF), Dkt. Tausi Kida (kushoto) na Profesa Kaushik Basu (katikati), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa asali , Fredy Swai , wakati wa ziara ya kutembelea Shirika la Uendelezaji Viwanda Vidogo (SIDO), ili kuona jinsi wajasiriamali wanavyoendesha shughuli zao. Ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Abubakari Akida)




Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida, akimuelekeza jambo Profesa Joseph Stiglitz wakati wa ziara ya kutembelea Shirika la Uendelezaji Viwanda Vidogo (SIDO), ili kuona jinsi wajasiriamali wanavyoendesha shughuli zao. Ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.




Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza bidhaa ya mafuta ya kupaka kwa kutumia malighafi ya mimea, Obed Musiba (kulia), akitoa maelezo juu ya bidhaa zake kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida (aliyeshika losheni) na Profesa Joseph Stiglitz, wakati wa ziara ya kutembelea Shirika la Uendelezaji Viwanda Vidogo (SIDO), ili kuona jinsi wajasiriamali wanavyoendesha shughuli zao. Ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.




Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dkt. Tausi Kida (katikati), akiwaongoza wageni kutembelea eneo la Shirika la Uendelezaji Viwanda Vidogo(SIDO), ili kuweza kukagua shughuli za wajasiriamali wanaojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.Kulia ni Profesa Kaushik Basu na Kushoto ni Profesa Sabina Alkire, ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Abubakari Akida)


Hivyo makala Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO

yaani makala yote Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/matukio-esrf-yaratibu-ziara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matukio :ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za wajasiriamali wa SIDO"

Post a Comment